« Charlz T »

Mama Nakupenda

NILIPOKUWA NA NJAA ULINILISHA NA ULINIVISHA NILIPOKUWA UCHI, ULINIONGOZA NILIPOPOTEA HII YOTE KWA SABABU ULINIPENDA, MAMA NASHUKURU MAMA KWA YOTE ULIYONITENDEA, KWA SABABU HIYO JUA NITAKUPENDA SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU. MAMA MAMA MAMA MAMA MAMA NAKUPENDA MAMA NAKUPENDA MAMA KAMA ULIVYONIPENDA, NA NITAZIDI KUKUPENDA MAMA KAMA ULIVYONIPENDA, MAMA MAMA MAMA MAMA MAMA NAKUPENDA MAMA [...]

Dunia Duara

dunia dunia duara, dunia dunia duara dunia dunia duara, dunia dunia duara yenye mengi, yakusikitisha, yakufurahisha na ya kushangaza. yenye mengi, yakusikitisha, yakufurahisha na ya kushangaza. dunia dunia duara, dunia dunia duara. jana ulikuwa pamoja na rafiki yako leo wapata habari katoweka dunia, jana ulikuwa pamoja na ndugu yako, leo wapata habari katoweka dunia. dunia [...]